Header Ads

ad

Breaking News

Chelsea safi Ligi Kuu England, Man City, Burnley, Tottenham, West Brom safi

Chelsea' match-winner Diego Costa roars and pumps his first as he celebrates his 87th minute strike with his team-mates
Wachezaji wa Chelsea wakimpongeza Diego Costa mfungaji wa bao la pili lililoipa ushindi timu hiyo dhidi ya Watford dakika ya 87. Chelsea ilishinda mabao 2-1.
Costa nets the winner late on after Cesc Fabregas' pass put him through to squeeze a shot under Watford stopper Gomes
Diego Costa akipasia nyavu nbaada ya kupokea pasi safi kutoka kwa Cesc Fabregas katika mechi ya Ligi Kuu England dhidi ya Watford, leo.The Brazilian-born Spanish striker runs off to acknowledge Cesc Fabregas for his role in creating the second goal 

Blues boss Antonio Conte embraces John Terry after Chelsea completed their comeback win at Vicarage Road

Etienne Capoue was a picture of delight after scoring Watford's opener ten minutes after the break at Vicarage Road
Etienne Capoue akishangailia bao aliloifungia timu yake ya Watford dakika ya  55 dhidi ya Chelsea kwenye Uwanja wa Vicarage Road. Chelsea ilishinda mabao 2-1.

Matokeo ya mechi za leo

No comments