SIMBA YAANZA NA MWEKUNDU WA MSIMBAZI WAANZA LIGI KWA KISHINDO, WAIFUMUA NDANDA FC BAO 3-1OTO LIGI KUU YAICHAPA 3-1 NDANDA…TSHABALALA APIGA SOKA YA NGUVU

Kipa wa Simba, Vincent Agban akiruka na kuusindikiza kwa macho mpira ukiingia wavuni baada ya kupigwa kichwa safi kabisa na Mshambuliaji wa Timu ya Ndanda, Omary Mponda na ikiwa ni goli la kufutia machozi katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania uliochezwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es salaam. Simba imeshinda Bao 3-1.

Mshambuliaji wa Timu ya Simba, Shiza Kichuya akiachia shuti lililopelekea kuipatia Timu yake bao la tatu dhidi ya Timu ya Ndanda, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania uliochezwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es salaam. Simba imeshinda Bao 3-1.

Mshambiaji wa Simba, Laudit Mavugo akiondoka na kijiji cha wachezaji wa Ndanda katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania uliochezwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es salaam. Simba imeshinda Bao 3-1.


Beki wa Simba, Mohamed Hussein akiondoka na mpira.





































No comments