MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AHUDHURIA MSIBA WA SHAKILA
![]() |
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,. Samia Suluhu Hassan akimfariji mtoto wa marehemu Shakila anayejulikana kwa jina la Hamad Akida. |
![]() |
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha maombelezo ya msiba wa marehemu Shakila Said. (Picha na ofisi ya Makamu wa Rais) |
![]() |
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha maombelezo ya msiba wa marehemu Shakila Said. (Picha na ofisi ya Makamu wa Rais) |
![]() |
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akiwafariji ndugu wa marehemu Shakila nyumbani kwa marehemu Mbagala Chalambe. |
![]() |
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akiwafariji ndugu wa marehemu Shakila nyumbani kwa marehemu Mbagala Chalambe. |
![]() |
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki dua ya kumuombea marehemu Shakila. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) |
No comments