Mwakalebela na Mweamoto wakipongezana leo mjini Dodoma
Mshindi wa kura za maoni jimbo la Iringa Mjini Frederick Mwakalebela
ambae ni mkuu wa Wilaya ya Wanging'ombe ( kulia), akipongezana na mshindi
wa kura za maoni Jimbo la Kilolo Venance Mwamoto jana katika viwanja
vya makao makuu ya Ccm mjini Dodoma mwamoto ambae ni mkuu wa Wilaya ya
Kaliuwa Tabora. (Picha na Francis Godwin)
No comments