NHIF YATOA “DARASA” KWA BLOGGERS WA TANZANIA KUHUSU UCHANGIAJI WA BIMA YA AFYA CHINI YA MPANGO WA “KIKOA”
MKURUGENZI wa Huduma na Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ya Jamii Tanzania, NHIF, Eugine Mikongoti
MKURUGENZI
wa Huduma na Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ya Jamii
Tanzania, NHIF, Eugine Mikongoti, akifafanua jambo wakati alipokuwa
akiwasilisha mada juu ya mpango wa uchangiaji binafsi, KIKOA, wakati wa
warsha ya siku moja iliyoandaliwa kwa pamoja kati ya NHIF, na Mtandao wa
Bloggers Tanzania (TBN).Warsha hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa
Baraza la Maaskofu Tanzania, Kurasini jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya Bloggers wakimsikiliza Mkurugenzi wa huduma na Uendeshaji wa Mfuko
wa Taifa wa Bima ya Afya ya Jamii Tanzania, NHIF, Eugine Mikongoti,
alipokuwa akiwasisilisha mada iliyohusu mpango wa uchangiaji binafsi,
KIKOA kwenye warsha ya siku moja iliyoandaliwa kwa pamoja kati ya NHIF
na Mtandao wa Bloggers Tanzania (TBN).Warsha hiyo imefanyika leo katika
ukumbi wa Baraza la Maaskofu Tanzania, Kurasini jijini Dar es Salaam.
MKURUGENZI
wa Huduma na Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ya Jamii
Tanzania, NHIF, Eugine Mikongoti,akiwasilisha mada juu ya mpango wa
uchangiaji binafsi, KIKOA, wakati wa warsha ya siku moja iliyoandaliwa
kwa pamoja kati ya NHIF, na Mtandao wa Bloggers Tanzania (TBN).Warsha
hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Maaskofu Tanzania,
Kurasini jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Bloggers wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa kwenye Warsha hiyo
Wadau wakifuatilia jambo
Bloggers wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye warsha hiyo
Baadhi ya Bloggers wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa kwenye Warsha hiyo
Blogger
Mzee Kitime akichangia jambo katika semina hiyo ya iliyoandaliwa kwa
pamoja kati ya NHIF na Mtandao wa Bloggers Tanzania (TBN).Warsha hiyo
imefanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Maaskofu Tanzania, Kurasini
jijini Dar es Salaam.









No comments