Mfugale: “Waandishi jiepusheni na ushabiki wa kisiasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu”

Baadhi
ya waandishi wa habari kutoka mikoa ya Singida, Kigoma, Katavi, Tabora
na Shinyanga, wanaohudhuria mafunzo ya siku tano ya uandishi bora wa
uchaguzi yanayoendelea kwenye hotel ya Vigimark nje kidogo ya mji wa
Shinyanga.(Picha na Nathaniel Limu).


Mkufunzi
Deodatus Mfugale, akitoa mada yake ya daftari la kudumu la wapiga kura
kwenye mafunzo ya uandishi bora wa habari za uchaguzi yanayoendelea
kwenye hotel ya Vigimark nje kidogo ya mji wa Shinyanga.
No comments