Dk. Magufuli awashukuru Wenyeviti na Makatibu wa CCM kwa Ushirikiano wao
Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni mgombea urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe Magufuli akiwakaribisha Wenyeviti wa CCM kutoka mikoa Mbalimbali nyumbani kwake mjini Dodoma kwa ajili ya Chakula cha jioni pamoja na kuwashukuru kwa umoja wao waliouonyesha.
Baadhi ya Wenyeviti wa Chama cha Mapinduzi kutoka Mikoa
mbalimbali ya Tanzania bara na Visiwani wakifurahia pamoja na Waziri wa Ujenzi
ambaye pia ni Mgombea Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt.
John Pombe Magufuli nyumbani kwake mjini Dodoma.
Waziri wa Ujenzi ambayepia ni Mgombea Urais kupitia Tiketi
ya Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya
pamoja na wenyeviti mbalimbali wa CCM mara baada ya hafla ya chakula cha jioni
aliyowaandalia wenyeviti hao.
Mwenyekiti
wa CCM Mkoa wa Lindi akiongoza dua mara baada ya hafla ya chakula cha jioni
iliyoandaliwa na Dkt. John Pombe Magufuli, Mgombea Urais kupitia Chama cha
Mapinduzi CCM.
Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni mgombea urais kupitia tiketi
ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli akiwakaribisha makatibu wa
CCM kutoka mikoa mbalimbali kwa ajili ya kifungua kinywa pamoja na kuwashukuru
kwa umoja wao na mshikamano wanaouonesha.
Waziri wa Ujenzi ambayepia ni Mgombea Urais kupitia Tiketi
ya Chama cha Mapinduzi CCM, Dk. John Pombe Magufuli akiwashukuru Makatibu wa
CCM kutoka mikoa mbalimbali kwa kuitikia wito wake wa kujumuika pamoja.
Waziri wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya
pamoja na Makatibu wa chama cha
Mapinduzi CCM kutoka mikoa mbalimbali nchini.
Waziri
wa Ujenzi,
Dk. John Pombe Magufuli akiagana na Makatibu nyumbani kwake mkoani Dodoma.
No comments