RHINO KUIKARIBISHA ASHANTI ALI HASSAN MWINYI
Rhino Rangers na Ashanti United zinapambana katika mechi pekee ya Ligi
Kuu ya Vodacom (VPL) itakayochezwa kesho (Septemba 25 mwaka huu)
kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora.
Wakati Rhino Rangers ilitoka sare ya bao 1-1 katika mechi yake iliyopita jijini
Tanga dhidi ya Mgambo Shooting Stars, Ashanti United inashuka uwanjani
huku ikiwa na kumbukumbu mbaya ya kutandikwa mabao 3-0 na Kagera
Sugar katika mechi iliyochezwa Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.

No comments