RAIS JOSEPH KABILA WA DRC ATUA DAR KWA ZIARA YA SIKU MOJA
Ndege iliyomchukua Rais Joseph Kabila wa Jamhuri
ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ikiwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius
Nyerere jijini Dar es salaam mchana wa leo Januari 30, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimjpokea Rais
Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) alipowasili uwanja wa
ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam mchana wa leo Januari
30, 2013

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha
maafisa mbalimbali Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)
alipowasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam
mchana wa leo Januari 30, 2013
No comments