Header Ads

ad

Breaking News

Rais Kikwete apokea hati za utambulisho Ikulu, apokea pia Salamu maalum Kutoka Sudan ya Kusini na DRC

 Mhe.Raymond Tschibanda akiwasilisha ujumbe kutoka kwa Rais Joseph kabila.
 Mhe.Nhial Deng Nhial akiwasilisha ujumbe maalum kutoka kwa Rais Salva Kiir
 Balozi wa Ukraine Volodymyr Butiaha akiwasilisha hati za Utambulisho
 Balozi wa Eritrea Mhe.Beyene Russom Habtai akiwasilisha hati za utambulisho
 Balozi wa Ghana Mhe.Kingsley Saka Karimu akiwasilisha hati za utambulisho
 Balozi wa Israel mhe. Gil Haskel akiwasilisha hati za utambulisho
Balozi wa Philippines Mhe. Domingo Lucenario akiwasilisha hati za utambulisho.

Picha na Habari na Freddy Maro
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amepokea hati za mabalozi watano wanaoziwakilisha nchi zao hapa pamoja na kupokea wajumbe wawili maalum waliotumwa na marais Salva Kiir wa Sudan Kusini na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.Mabalozi waliowasilisha hati za utambulisho ikulu ni pamoja na Mhe.Domingo Lucenario wa Phillippines, Mhe.Volodymyr Butiaha wa Ukraine,Mhe.Beyene Russom Habtai wa Eritrea, Mhe.Kingsley Saka Karimu wa Ghana pamoja na Mhe.Gil Haskel wa Israel.

Wajumbe walioleta salamu maalum kutoka kwa marais wao ni pamoja namhe.Raymond Tschibanda ambaye ni Waziri wa Mambo ya nchi za nje wa DRC na Mhe.Nhial Deng Nhial ambaye ni waziri wa mambo ya nchi za nje wa Sudan ya Kusini.

No comments