REDD’S MISS KINONDONI 2012 KUPATIKANA SEPTEMBA 14, 2012
Washiriki wa Redd’s Miss Kinondoni 2012 wakiwa katika
mazoezi yao ya kila siku ambayo yameanza Sept 1, 2012 ndani ya Ufukwe wa
Cine Club. Mashindano ya Redd’s Miss Kinondoni 2012 yanatarajiwa
kufanyika Ijumaa Sept 14, 2012 katika Ukumbi wa Cassa Complex Mikocheni.
Baadhi ya washiriki wa shindano hilo wakiendelea na mazoezi yao.
Washiriki wa Redd’s Miss Kinondoni 2012 wakiwa katika pozi.Jumla
ya warembo 12 wanataraji kupanda jukwaani kuwania taji la Redd’s
Miss Kinondoni 2012, shindano litakalofanyika Ijumaa Sept 14, 2012. www.fullshangwe.blogspot.com
ya warembo 12 wanataraji kupanda jukwaani kuwania taji la Redd’s
Miss Kinondoni 2012, shindano litakalofanyika Ijumaa Sept 14, 2012. www.fullshangwe.blogspot.com
No comments