Header Ads

ad

Breaking News

POLISI WALIVYOISHAMBULIA KWA MABOMU OFISI YA CHADEMA IRINGA


 Seheu ya mabaki ya mabomu yalitumika katika kuwatanya wanachma wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika vurugu zilizozuka baina ya polisi na wanachma hao katika kijiji cha Nyololo mkoani Iringa juzi.
 Mke wa marehemu Daudi Mwangozi, Itika Mwangosi (kushoto), akiwa katika hali ya majonzi pamoja na ngugu waliohudhulia msiba huo, nyumbani kwa marehemu mjini Iringa jana.

No comments