Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea na kuweka jiwe la msingi katika
jengo jipya la kutengeneza maziwa ya unga katika Kiwanda cha Maziwa cha
Brookside Diary kwenye Barabara ya Thika nje kidogo ya jiji la Nairobi. (n5 -
Rais Kikwete akiangalia ng'ombe wanaofugwa kisasa katika shamba la kiwanda
hicho, n6- Rais Kikwete akiangalia kondoo wanaofugwa kisasa katika shamba
la kiwanda hicho, n7- Rais Kikwete akiangalia mchoro wa ujenzi wa jengo la
kutengeneza maziwa ya unga wa kiwanda hicho. Anayemuelekeza ni Mwenyekiti
wa kampuni ya Brookside Diary Bw. Muhoho Kenyatta, n8- Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi
katika jengo jipya la kutengeneza maziwa ya unga katika Kiwanda cha
Maziwa cha Brookside Diary kwenye Barabara ya Thika nje kidogo ya jiji la
Nairobi. Kushoto ni Mwenyekiti wa kampuni ya Brookside Diary Bw. Muhoho | |
No comments