Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mkuu wa Chuo cha UIinzi (National Defence
College) Meja Jenerali Charles Makalala baada ya kufungua rasmi chuo
hicho kilichopo Kunduchi jijini Dar es salaam. Nyuma yao ni Waziri wa
Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe Shamsi Vuai Nahodha anayefuatana na Mkuu
wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi Chuo cha UIinzi
(National Defence College) leo Septemba 10, 2012 Kunduchi jijini
Dar es salaam. Kulia kwake ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali
Davis Mwamunyange na kushoto kwake ni Mkuu wa Chuo hicho, Meja Jenerali Charles
Makalala na kushoto kabisa ni aBalozi wa China nchini Tanzania Mhe. Lu
Younqing.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mkuu wa Chuo cha UIinzi (National
Defence College) Meja Jenerali Charles Makalala leo Septemba 10, 2012
baada ya kumkabidhi mfano wa funguo kama ishara ya kufungua rasmi chuo
hicho kilichopo Kunduchi jijini Dar es salaam. Kulia ni Mkuu
wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisoma hotuba yake kufungua rasmi Chuo cha UIinzi
(National Defence College) kilichoko Kunduchi jijini Dar es salaam, pamoja na
kuzindua kozi ya kwanza ya mwaka mmoja. Walioketi karibu yake ni
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange na Mkuu wa Chuo
hicho, Meja Jenerali Charles Makalala
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akisoma akipozi na wanachuo wa kozi ya kwanza ya bmwaka mmoja katika
Chuo cha UIinzi (National Defence College) alichofungua rasmi leo Septemba 10,
2012 Kunduchi jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
Rais Kikwete afungua cuo cha Ulinzi Kunduchi
Reviewed by Majuto Omary na Frank Balile
on
12:30 PM
Rating: 5
No comments