MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA WAKUU WA MAJESHI YA POLISI KUTOKA NCHI ZA KUSINI MWA AFRIKA (SADC)WA KUJADILI UHALIFU WA KIMATAIFA.
![]() | |||
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo kutoka nchi mbalimbali za Afrika, wakiwa katika mkutano huo uliofanyika leo Sept 05, 2012 katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort, mjini Zanzibar.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Inspekta Generali, Said Mwema, akisoma hoyuba
yake ya ukaribisho wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Wakuu wa Majeshi ya
Polisi kutoka Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) wa kujadili uhalifu wa Kimataifa
kuhusu madawa ya kulevya na kuimarisha uhusiano kwa nchi za Afrika
kiulinzi. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal,akisoma hotuba yake ya ufunguzi wa mkutano wa Wakuu wa Majeshi ya
Polisi kutoka Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) wa kujadili uhalifu wa Kimataifa
kuhusu madawa ya kulevya na kuimarisha uhusiano kwa nchi za Afrika
kiulinzi. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal,akipokea zawadi kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Plisi, Inspekta Genarali,
Saidi Mwema, baada ya kufungua mkutano wa Wakuu wa Majeshi ya Polisi kutoka
Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) wa kujadili uhalifu wa Kimataifa kuhusu madawa
ya kulevya na kuimarisha uhusiano kwa nchi za Afrika kiulinzi. Kushoto ni
Mkuu wa Jeshi la Polisi wa Afrika ya Kusini, Picha na OMR
No comments