Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Kamati ya Interparliamentary
unity (IPU) baada ya mazungumzo wakati ujumbe huo ulipofika Ofisini kwake Ikulu
jijini Dar es Salaam, leo. Sept 11, 2012. Picha na OMR
 |
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Akiagana na Mbunge wa
Bunge la Zimbabwe na Mjumbe wa Kamati ya Interparliamentary unity (IPU),
Thabitha Khumalo, wakati akiagana na ujumbe wa IPU baada ya mzungumzo na ujumbe
huo, mazungumzo yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Sept 11, 2012.
Picha na OMR |
| |
No comments