MISS TEMEKE 2012 SI YA KUKOSA, HIZO TOTOZ USIPIME
Kuelekea shindano
la Miss Temeke 2012, BIN ZUBEIRY jioni hii imetembelea
kambi ya warembo katika ukumbi wa TCC Club, Chang’ombe na kuwakuta wakiendelea
na mazoezi chini ya mwalimu wao Leila Bhanji, tayari kwa show hiyo inayoletwa
kwenu na BMP Promotions, chini ya Mkurugenzi wake, Benny Kisaka ambayo
itafanyika Ijumaa wiki hii kwenye ukumbi wa PTA. Cheki bakora hizo, ambazo leo zimetembelewa na Kamati ya Miss Tanzania.
![]() |
Edna Sylvester
(21)
|
![]() |
Catherine Masumbigana
(21)
|
Jesca Haule
(18)
|
Lilian Joseph
(20)
|
Neema Doreen
(20)
|
Zulfa Bundala
(21)
|
Esther Albert
(19)
|
Agness Goodluck
(20)
|
Flaviana Maeda
(22)
|
Elizabeth Peter
(21)
|
Miriam
Ntakisivya (21)
|
Miss Temeke namba 2 wa mwaka 2010, Cynthia Kimasha, akiwapa uzoefu washiriki wa Miss Temeke 2012 |
Elizabeth Bonigace
(19)
|
Mwalimu wao, Leilla Bhanji |
Angel Gasper
(19)
|
![]() |
Warembo wakiwasikiliza viongozi wa Kamati ya Miss Tanzania |
![]() |
Kutoka kulia Cynthia Kimasha, Leilla Bhanji, Mwajabu Juma, Miss Temeke namba 3 mwaka jana na Joyce Maweda, Miss Chang'ombe namba 3 mwaka jana. |
![]() |
Wadau, kutoka kulia Mkama na Fred Ogot |
![]() |
Washiriki Miss Temeke 2012 wakiwasikiliza viongozi wa Kamati ya Miss Tanzania |
![]() |
Washiriki wakiwasikiliza viongozi wa Kamati ya Miss Tanzania |
![]() |
Warembo wakicheza shoo |
![]() |
Warembo wakicheza shoo. kwa msaada wa www.bongostaz.blogspot.com |
No comments