SOFAPAKA YAICHAPA SIMBA 3-0
Mshambuliaji wa Simba, Edward Christopher akitafuta mbinu za kumtoka beki wa
Sofapaka ya Kenya , Anthony Kimani katika mchezo wa kimataifa wa
kirafiki uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Sofapaka ilishinda 3-0. (Picha na Dande Junior). www.francisdande.blogspot.com
Kikosi cha Simba
No comments