Header Ads

ad

Breaking News

Twanga Pepeta na utamu wa Idd


 Madansa wa African Stars Band "Twanga Pepeta" wakiwajibika katika onyesho lililofanyika Mango Garden katika kusherehekea sikukuu ya Eid jana Dar es salaam.


 Faidha Kassim au Baby Tall akionyesha maujanja yake jana.






 Kiongozi Luizer Mbutu akiwapa saluti mashabiki wa Twanga Pepeta waliohudhuria katika onyesha la jana Mango Garden.
Dogo Rama, Dansa Beckham na Amigolas. www.twanga-pepeta.blogspot.com

No comments