Header Ads

ad

Breaking News

PICHA ZA YANGA NDANI YA KIMBARI TRAGEDY MEMORIAL

Wachezaji na Viongozi wa Yanga wakipata Maelekezo Kabla ya Kuingia kwenye Kumbukumbu ya Mauaji ya Kigali
Msafara wa Yanga Ukiingia kwenye Kumbukumbu ya Kimbari...Niyonzima alikuwa muongozaji mzuri kwenye Eneo hilo la Kihistoria
Mama Fatuma Karume anawaongoza Msafara Kuingia ndani ya Kimbari Memorial Tragedy
Viongozi wa Yanga baada ya kuweka Mashada ya Maua kwenye Makuburi walipumzika kidogo
Mazoezi yalikuwa hivi wakati wa Jioni.

No comments