TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Nape Nnauye, Katibu |
Chama
Cha Mapinduzi kimetafakari hukumu ya kesi ya uchaguzi iliyotolewa jana Agosti
21, 2012 na Mahakama Kuu kanda ya Tabora.
Kimejiridhisha
na kufanya uamuzi wa kukata rufaa dhidi ya hukumu ya kesi ya uchaguzi, dhidi ya
Mbunge wa jimbo la Igunga mkoani Tabora Dokta Dalaly Peter Kafumu.
Kusudio
hilo linatokana na kutorishwa na hukumu hiyo.
Imetolewa
na;-
Nape Nnauye
KATIBU WA
HALMASHAURI KUU YA CCM
WA
ITIKADI NA UENEZI
22/08/2012
No comments