Wanafunzi waliosoma Irambo High School kukutana Julai 14
KWA WANAFUNZI WOTE AMBAO MLISOMA SHULE YA SEKONDARI IRAMBO MBEYA TANGU INAANZISHWA HADI LEO HII MLIOKO MJINI DAR ES SALAAM NA SEHEMU NYINGINE ZA TANZANIA HII NA NJE YA TANZANIA.
MNAOMBWA KUHUDHURIA KWENYE KIKAO KITAKACHOFANYIKA TAREHE 14/07/2012 KATIKA KIJIJI CHA MAKUMBUSHO UKUMBI WA NDANI KUANZIA SAA NANE MCHANA ILI TUJADILI MAMBO MUHIMU NA KUKUMBUSHANA MAMBO YA ZAMANI.
KWA MAWASILIANO TAFADHALI PATA TAARIFA KAMILI KWA NAMBA FRANK BALILE 0756 545258, GWAKISA JOEL 0713 271069, JOSEPH MWAHELEJA 0713 312403, DEO MUTASINGWA 0715 285355, MALCOLM MTENGULE 0713 538297, MJUNI KAIZA 0753 253787.
TAFADHALI MTAARIFU NA MWINGINE
Wanafunzi waliosoma Irambo High School kukutana Julai 14
Reviewed by Majuto Omary na Frank Balile
on
5:22 PM
Rating: 5
Wafuatao wamepata taarifa na wamedhibitisha kushiriki. 1. Addo Kihinja 2. Joseph Mwaheleja 3. Steven Mwashamba 4. Gwakisa Joel Mwalubandu, 5. Linda Lovelease Mtengule, 6. Malcolm P Mtengule 7. Peter Christina 8. Shariffa Bakari 9. Venance Mlekani 10. Deo Kigalu 11. Frank Balile 12. Mujuni Kaiza 13. Romward Mpungu 14. Masogola Mkwabisi 15. Sarah Mballa 16. Dickson Mbalafu 17. Cosamas Mlekani 18. Stanislaus Charles Mmbando 19. Malcolm P. Mtengule, 20. Francis Cholobi WALIOTOA UDHURU KUTOKANA NA RATIBA ZA KIFAMILIA . 1. Devota Chalamila 2. Debora Mbeleka.3. Getrude Gowela AMBAO HAWAPATIKANI KWENYE SIMU ZAO NI. 1. Sylvia Mwentsi 2. Baggo . Tafadhali tujulishane kama kuna mwingine aliyesahaulika ili tupate Updates.
ReplyDelete