Vodacom kuwajaza mihela bingwa wa soka leo
![]() |
Kombe la bingwa wa Bara likiwa limebebwa na warembo |
Kampuni ya Vodacom
itakabidhi zawadi kwa washindi wa Ligi Kuu ya Vodacom msimu 2011/2012 katika
hafla itakayofanyika Juni 30 mwaka huu kwenye hoteli ya Double Tree Hilton
jijini Dar es Salaam.
Hafla hiyo
itakayohudhuriwa na wawakilishi wawili kutoka katika klabu ya Ligi Kuu itaanza
saa 12 jioni. Katika hafla hiyo washindi mbalimbali wakiwemo bingwa, makamu
bingwa na mshindi wa tatu.
Wengine
watakaozawadiwa ni mfungaji bora, kipa bora, timu bora yenye nidhamu, mchezaji
bora wa ligi, refa bora na kocha bora.
No comments