Header Ads

ad

Breaking News

Madrid yamtengea Drogba pauni 150,000

 MADRID, Hispania
REAL Madrid,  wamemtaka mshambuliaji wa zamani wa Chelsea, Didier Drogba, kuangalia upya maslahi yake, huku wao wakimtengea mshahara wa pauni 150,000 kwa wiki.

Maofisa wa Shanghai Shenhua, kwa mara nyingine tena wiki hii wamekuwa na uhakika wa kumnasa mshambuliaji kutoka Ivory Coast.

Lakini, amekuwa na mazungumzo na Real Madrid, limeandika Daily Mail.
Ingawa, mabingwa hao wa Hispania wanajaribu kumshawishi mshambuliaji huyo mwenye miaka 34, kutaka kumpa mshahara wa pauni 150,000 kwa wiki.

No comments