Header Ads

ad

Breaking News

'SUGU’ KUTOA BURUDANI KALI DAR LIVE JUMAPILI HII

Mwanamuziki mkongwe wa Hip Hop nchini Joseph Mbilinyi aka ‘M II’ au ‘Sugu’ amethibitisha kuwa siku ya Jumapili ijayo (Juni 3) atatoa shoo ya nguvu ndani ya Ukumbi wa Taifa wa Burudani wa Dar Live huko Mbagala, jijini Dar es Salaam.
Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdalah Mrisho (kushoto) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani), kuhusu burudani itakayotolewa na Sugu akiwa na wasanii wengine wakali   ambao ni  Professor J na Juma Nature.  Kulia ni Mratibu wa Shoo za Wasanii Dar Live, Luqman Maloto.
Mr II akiongea na waandishi wa habari juu ya onyesho hilo,(kushoto) ni Mratibu wa Burudani na Matukio Dar Live, Juma Mbizo. (Fullshangwe)
 Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza mkali huyo.
Mr II akiwa na wafanyakazi wa Global Publishers ambao, kutoka kushoto ni: Walusanga Ndaki, Sudi Kivea na Clarance Mulisa. 

No comments