MKOA WA RUVUMA WAPOKEA MWENGE WA UHURU LEO
Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Severin Tossi(kushoto) akipokea
Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Njombe John
Mahali .Mwenge wa Uhuru umepokelewa leo mkoani Ruvuma katika kijiji cha
Ngelenge wilaya ya Ludewa kabla haujaanza mbio zake mkoani Ruvuma
(Picha na Muhidin Amri Nyasa= Songea)
No comments