Twiga Stars itawasili nchini Jumapili saa nane mchana ikitokea nchini Msumbiji ambako ilishiriki michuano ya Mataifa ya Afrika (All Africa Games). Katika mechuano hiyo, Twiga Stars ilitupwa nje ya michuano hiyo hatua za mwanzo.
No comments