Timbe aliangusha zigo la lawama kwa washambualiji
KOCHA Mkuu wa Yanga Sam Timbe, amewaangusia zigo la lawama washambuliaji wake baada ya kushindwa kuifungia timu yao mabao katika mechi dhidi ya Azam FC iliyopigwa jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilikubali kipigo cha bao 1-0.
Timbe amesema katika mechi hiyo, washambuliaji wake walipata nafasi nyingi nzuri za kufunga, lakini walishindwa kuzitumia vizuri, badala yake wakawaapa mzigo mabeki wake.
Amesema tayari ameyaona makosa, hivyo atahakikisha anayafanyia marekebisho kabla ya maechi ijayo dhid9i ya Villa Squad.

No comments