Mambo ya nyumbani yanapokolea
Balozi wa Zambia nchini Tanzania, Mavis Lengalenga (katikati) akicheza ngoma ya asili iliyokuwa ikipigwa na kikundi cha Sanaa cha Makanjani kutoka nchini Zambia, wakati wa maadhimisho ya Kumbukumbu ya miaka 35 ya reli ya Tazara kuelekea maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania. Maonyesho hayo yalifanyika leo Septemba 14 katika Viwanja vya Tazara jijini Dar es Salaam. Foto: sufianimafoto.blogspot.com
Kikundi cha Sanaa cha Polisi Tanzania, kikitoa burudani wakati wa maadhimisho ya Kumbukumbu ya miaka 35 ya reli ya Tazara kuelekea maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania. Maonyesho hayo yalifanyika leo Septemba 14 katika Viwanja vya Tazara jijini Dar es Salaam.
Kikundi cha Sanaa cha Makanjani kutoka nchi Zambia, kikitoa burudani wakati wa maadhimisho ya Kumbukumbu ya miaka 35 ya reli ya Tazara kuelekea maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania. Maonyesho hayo yalifanyika leo Septemba 14 katika Viwanja vya Tazara jijini Dar es Salaam.

No comments