Dkt.Nchimbi amnad mgombea ubunge, madiwani Jimbo la Kinondoni
Picha za matukio mbalimbali za Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwahutubia na kuwanadi baadhi ya Wagombea Ubunge wa mkoa wa Dar es Salaam, akiwemo mgombea ubunge wa Jimbo la Kinondoni, Abbas Tarimba pamoja na madiwani, kwenye mkutano wake wa hadhara wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya Biafra, Oktoba 1, 2025.
No comments