Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na wananchi wa Songea katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM mkoani Ruvuma, leo Septemba 22, 2025.
Mgombe Urais kupitia CCM, Dkt.Samia alipozungumza na wananchi wa Songea
Reviewed by Faharinews
on
7:28 PM
Rating: 5
No comments