Header Ads

ad

Breaking News

Dkt.Nchimbi azungumza na wenyeviti, makatibu mikoa na wilaya wa UWT

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na Wenyeviti na Makatibu wa Mikoa na Wilaya wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa CCM Tanzania (UWT)  wanaoudhuria mafunzo ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu, yaliyofanyika leo Ijumaa Oktoba 22, 2025, katika Ukumbi wa Kilimani Landmark, jijini Dodoma.



No comments