DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa iliyoketi jijini Dodoma, leo Jumatatu tarehe 26, Mei 2025.
#KazinaUtuTunasongaMbele
#SafariyaUshindi2025Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Stephen Wassira akipitia taarifa za chama
No comments