Timu ya Taifa ya Tanzania Maarufu kama Taifa Stars wamewasili
salama Tanzania mara baada ya kumaliza kambi yao ya maandalizi ya wiki
moja huko nchini Misri. Stars Itashuka Jumamosi katika uwanja wa Chamazi
kucheza na Lesotho.
TAIFA STARS YAWASILI KUTOKA MISRI,YAISUBIRI KWA HAMU LESOTHO
Reviewed by Majuto Omary na Frank Balile
on
3:33 PM
Rating: 5
No comments