Mwenyekiti wa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Bw. Freeman Mbowe akiwasili
nyumbani kwa marehemu Philemon Ndesamburo wakati alipohudhuria mazishi
yake yaliyofanyika leo Moshi mkoani Kilimanjaro Marehemu Ndesamburo
alifariki wiki iliyopita na kuzikwa leo mkoani humo angalia matukio
mbalimbali katika picha kuhusu tukio zima la ibada ya mazishi.(Picha na
Dixonbusagagablog).
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi akiteta jambo na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa wakati wa misa ya mazishi ya mbunge wa zamani wa Jimbo la Moshi mjini, Phillemon Ndesamburo jana. |
No comments:
Post a Comment