Header Ads

ad

Breaking News

yanga mpaka dakika 45 za kwanza imetikisa nyavu mara sita

MABINGWA watetezi wa michuano ya Kagame, Yanga, leo imeanza vizuri mechi yake baada ya kuchapa mabao 6-0, timu ya Wau Salaam ya Sudan Kusini, mabao yote hayo yalipachikwa kipindi cha kwanza.

Wafungaji nwa mabao hayo nya Mechi ya Kundi C, Hamisi Kiiza mabao matatu, Said Bahanuzi mabao mawili na Stefano Mwasyika aliyewapeleka wavuni mara moja.

Lakini, nitazidi kuwapa matokeo kadri muda unavyozidi kwenda, endelea kuwa na blog yako ya www.balilemajuto-balilemajuto.blogspot.com

No comments