WANAFUNZI WALIOSOMA IRAMBO HIGH SCHOOL SOMENI HAPA
KWA WANAFUNZI WOTE AMBAO MLISOMA SHULE YA SEKONDARI
IRAMBO MBEYA TANGU INAANZISHWA HADI LEO HII MLIOKO MJINI DAR ES SALAAM NA
SEHEMU NYINGINE ZA TANZANIA HII NA NJE YA TANZANIA.
MNAOMBWA KUHUDHURIA KWENYE
KIKAO KITAKACHOFANYIKA TAREHE 14/07/2012 KATIKA KIJIJI CHA MAKUMBUSHO UKUMBI WA
NDANI KUANZIA SAA NANE MCHANA ILI TUJADILI MAMBO MUHIMU NA KUKUMBUSHANA MAMBO
YA ZAMANI.
KWA MAWASILIANO TAFADHALI PATA TAARIFA KAMILI KWA NAMBA FRANK BALILE
0756 545258, GWAKISA JOEL 0713 271069, JOSEPH MWAHELEJA 0713 312403, DEO
MUTASINGWA 0715 285355, MALCOLM MTENGULE 0713 538297, MJUNI KAIZA 0753 253787.
TAFADHALI MTAARIFU NA MWINGINE
No comments