Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na wananchi wa Iramba katika mwendelezo wa kampeni za uchaguzi mkuu kwa chama hicho mkoani Singida, leo Jumatano Septemba 10, 2025.
No comments