Dkt.Samia akimwaga sera katika kampeni za uchaguzi mkuu mkoani Kigoma
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt.Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano wa kampeni uliofanyikaKazuramimba wilayani Uvinza mkoani Kigoma, leo Septemba 13,2025.
Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Kazuramimba, Uvinza mkoani Kigoma, Septemba 13, 2025.
No comments