Dkt. Samia alivyotikisa mkoani Songwe
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Vwawa katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Songwe, Septemba 3,2025.
Sehemu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) Vwawa mkoani Songwe Septemba 3,2025.
No comments