Header Ads

ad

Breaking News

Mgombea mwenza Dkt.Nchimbi awanadi Cosmas, Moses akianza kampeni

Mgombea Mwenza wa kiti cha  Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi, akiwahutubia wananchi katika Uwanja wa CCM mjini Ngudu wilayani Kwimba, alipopita kuwasalimia wakati akianza rasmi kampeni  leo Agosti 29, 2025 jijini Mwanza. 

Pamoja na kuwahutubia wananchi, pia alimnadi mgombea ubunge wa Jimbo la Kwimba, Bulala Mutesigwa Cosmas na wa Jimbo la Sumve, Bujaga Charles Moses pamoja na madiwani wa chama hicho.











No comments