Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki maadhimisho ya Siku ya Mashujaa katika uwanja wa Mashujaa, Mtumba Jijini Dodoma leo, Julai 25, 2025.
Rais Samia akishiriki Siku ya Mashujaa jijini Dodoma
Reviewed by Faharinews
on
8:59 PM
Rating: 5
No comments