Header Ads

ad

Breaking News

RAIS DKT. SAMIA AKISHIRIKI SHEREHE YA KUFUNGA KOZI YA MAAFISA NA WAKAGUZI WA JESHI LA POLISI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali kabla ya kufunga Mafunzo ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Jeshi la Polisi Tanzania katika sherehe zilizofanyika katika Chuo cha Taaluma ya Polisi kilichopo Kurasini Jijini Dar es Salaam, Juni 92025.



















No comments