Dkt.Nchimbi akagua ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Convention Centre
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akiambatana na wajumbe wa Sekreterieti ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa (NEC), leo Jumamosi Mei24, 2025, amekagua ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Convention Centre, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CCM Taifa, utakaofanyika Mei 29 na 30,2025, jijini Dodoma.
No comments