Header Ads

ad

Breaking News

DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO CHA NEC

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), kilichofanyika katika Ukumbi wa NEC jijini Dodoma, leo Jumatano, Mei 28, 2025.



Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Balozi Dkt.Emmanuel Nchimbi akizungumza wakati wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), kilichofanyika katika Ukumbi wa NEC jijini Dodoma, leo Jumatano, Mei 28, 2025.





No comments