Header Ads

ad

Breaking News

Dkt.Nchimbi awapa neno wakazi wa Mji wa Mbamba Bay wilayani Nyasa

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na wananchi wa Mji wa Mbamba bay, wilayani Nyasa, kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Viwanja vya Bandari, Jumamosi Aprili 5,2025, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya siku tano katika Mkoa wa Ruvuma.











No comments