Header Ads

ad

Breaking News

Dkt.Nchimbi alipozungumza na wananchi wa Liganga Peramiho

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na wananchi wa Liganga, Jimbo la Peramiho, Halmashauri ya Songea Vijijini, Wilaya ya Songea, alipokuwa njiani kuelekea Wilaya ya Nyasa, akiendelea na ziara yake ya siku 5, mkoani Ruvuma, Jumamosi Aprili 5,2025.








No comments