Dkt.Nchimbi afungua Mkutano Mkuu Maalum wa Jukwaa la Wahariri Tanzania
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akiwa mgeni rasmi, leo Ijumaa Aprili 4, amefungua Mkutano Mkuu Maalum wa Jukwaa la Wahariri nchini (TEF), unaokutana mjini Songea kwa siku mbili, hadi Aprili 5, mwaka huu, kwa ajili ya kufanya uchaguzi wa viongozi wa jukwaa hilo.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mgombea mwenza wa urais Dkt.Emmanuel Nchimbi akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu Maalum wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), ulianza Aprili 4-5,2025 mjini Songea mkoani Ruvuma
No comments