Nape akagua maendeleo ya ujenzi mnara wa VODACOM Katahoka
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb) amekagua maendeleo ya ujenzi wa Mnara wa VODACOM uliopo katika Kijiji cha Katahoka Kata ya Katahoka Wilayani Biharamulo leo tarehe 16 Julai, 2024 wakati wa ziara yake mkoani Kagera.#leavenooneunconnected #KandayaZiwa #connect8M #SmartTanzania


No comments