Header Ads

ad

Breaking News

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA MKUTANO WA DEMOKRASIA JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiwa na viongozi wengine kwenye Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa na Wadau wa Demokrasia Kutathmini Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kikosi Kazi na Hali ya Siasa nchini katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 2023.

 Mabalozi kutoka nchi mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa na Wadau wa Demokrasia Kutathmini Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kikosi Kazi na Hali ya Siasa nchini katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 2023. 

Wadau wa Demokrasia, Wajumbe wa Baraza la Vyama vya Siasa, Viongozi wa Vyama vya Siasa, pamoja na Wageni mbalimbali wakiwa kwenye ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) kwa ajili ya Mkutano Maalum wa Baraza hilo na Wadau wa Demokrasia Kutathmini Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kikosi Kazi na Hali ya Siasa nchini  Septemba 11, 2023.



No comments